MAMA AMDUNDA MWANE HATIMAYE APOTEZA FAHAMU YEYE MWENYEWE



Mama huyu mkaazi wa sahare jijini Tanga jina kapuni leo ametoa kali ya mwaka leo baada ya kumpa kichapo kitakatifu mwanae wa kiume hadi raia wema kumuonea huruma na kumshika mama huyu ili asiendelee kumuadhibu mwanae maana mtoto alishaanza kupoteza sauti baada ya kulia kwa mda mrefu, Sasa basi cha
ajabu mama alizirai kwa hasira maana watu walimzuia kabla hamu yake ya kumtwanga mwananae haijaisha hii ni kwa mujibu wa yeye mwenyewe baada ya kuzinduka! Watu hoi kila mmoja mbavu hana kwa kicheko!!!!!! Alivyozinduka aliieleza 

 kwamba kisa cha kumpiga mwanae ni baada ya kupata malalamiko kutoka kwa jirani yake kwamba mwanae amempiga mtoto wa jirani huyo, kwahio yeye alichukua maamuzi ya kumpa mwanae kisago cha uhakika ili amfurahishe jirani yake!!!!..
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. TANGA LEO - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger