kwa kunywa dawa moja tu inayoitwa Methadone.
Inapatikana Muhimbili na Mwananyamala pekee na ni bure kabisa.
Tunamshukuru sana Mh Jakaya Mrisho
Kikwete kwa kutuletea dawa hii.Ningependa kuwashauri walioathirika wa
dawa za kulevya iwe wewe,ndugu yako,rafiki,kaka,dada,mjomba,jirani au
yoyote aliye karibu na wewe.Usiogope amua tu kwamba unataka kupona na
nenda kanywe hii dawa utapona kabisa.”
Post a Comment