WABUNGE WAFUATILIA MIRADI YA WANAWAKE TANGA
Kaimu
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii Mhe. Said
Mtanga akitambulisha wajumbe wa Kamati yake kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga
Bibi Chiku Ngalawa wakati wa ufuatiliaji wa fedha ya Mfuko wa Maendeleo
ya Wanawake katika mkoa wa Tanga, tarehe 21/1/2014. Picha na Erasto ching’oro WMJJW.
Kaimu
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii Mhe. Said
Mtanga akisaini kitabu cha wageni cha Kikundi cha Maendeleo ya wanawake
Vumilia kinacholima zao la mwani katika kijiji cha Saadani kata ya
Tongoni jijini Tanga tarehe 21/1/2014. Picha na Erasto ching’oro WMJJW.
Mwenekiti
wa Kikundi cha Maendeleo ya Wanake Bibi Hadija Saida akionesha zao la
mwani linalolimwa baharini wakati alipotembelewa na Kamati ya kudumu ya
Bunge ya Maendeleo ya Jamii na baadhi ya viongozi wa juu wa Harimashauri
ya jiji la Tanga tarehe 21/01/2014. Picha na Erasto ching’oro WMJJW.
Mwenyekiti
wa kikundi cha Sanaa Endelevu ‘Arts and Culture’ Bibi Mariam Makoko cha
barabara ya 5 jijini Tanga (aliyeko katikati mlangoni) akitoa maelezo
kwa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii kuhusu matumizi ya
fedha ya Mfuko wa Maendeleo ya wanawake katika kujiletea maendeleo. Picha na Erasto ching’oro WMJJW.