RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA MAMA MZAZI WA JAJI AUGUSTINO RAMADHANI, DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za
mwisho kwa mwili wa Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, Mama Mzazi wa
Jaji Augustino Ramadhani, wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015
huko Kimara King’ongo jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakijumuika na
waomboilezaji wengine katika mazishi ya Marehemu Bibi Bridget
Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, wakati wa mazishi
Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King’ongo jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka udongo
kwenye kaburi la Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji
Augustino Ramadhani, wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko
Kimara King’ongo jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka shada