DORIS MOLEL AIBUKA MISS ILALA 2013.
Mrembo
Doris Molel usiku wa kuamkia leo ametwaa Taji la Miss Ilala kwenye
kinyang’anyiro kilichopfanyikia Ukumbi wa Golden Jubilee jijini Dar es
Salaam. Katika kipute hicho wanyange 13 walikuwa wakiwania taji hilo.
Yafuatayo ni baadhi ya matukio yaliyojiri.
Washindana kuonesha kipaji cha kucheza.
Post a Comment