MIKOA TAJIRI TANZANIA KWA MUJIBU WA BOT
Kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania(BOT),Dsm ndio mkoa unaoongoza kwa kuchangia pato la taifa.1. Dar-es-salaam(GDP-7.5 trilion)
2. Mwanza(GDP-4.09 trilion)
3. Mbeya(GDP-3.2 trilion)
4. Shinyanga
5. Iringa
6. Morogoro
7. Arusha(GDP-2.1 triliom)
8. Tanga(GDP-2.09 trillion)
9. Kilimanjaro(GDP-2.03 trillion)
Cha kushangaza ni kuwa mkoa wa Lindi ambao umezungukwa na gesi yenye ujazo wa mabilioni ndio mkoa wa pili kwa umaskini baada ya mkoa wa Pwani.
Lakini swali ni je,kwanini arusha haipo hata katika top 3 ya mikoa tajiri yenye kuchangia pato la taifa? Inaonekana makampuni mengi ya utalii yanamilikiwa na wageni au mengi yanatokea katika mkoa wa Dsm.