Featured Post Today
print this page
Latest Post

MWANAFUNZI AMWAGIWA MAFUTA YA MOTO BAADA YA KUFUMANIWA NA BOYFRIEND WA RAFIKI YAKE

MWANAFUNZI AMWAGIWA MAFUTA YA MOTO BAADA YA KUFUMANIWA NA BOYFRIEND WA RAFIKI YAKE

http://www.theclicktz.com/
Mwanafunzi wa chuo kimoja alimwagiwa mafuta ya moto na rafiki yake kipenzi baada ya kumkuta na boyfriend wake wakifanya mapenzi.


Ilikuwa ni siku ya ijumaa Nasra alipokuwa akitoka darasani na kurejea hostel alipokea sms ikisema "Nenda kwa Rafiki yako kipenzi Naima kuna Bonge la Surprize, tafadhali usikose nenda sasa hivi" Nasra aliamua kuchukua pikipiki hadi kwa rafiki yake alipofika tu alikuta viatu vya boyfriend yake nje, akashtuka kwanza kwani sio kawaida ya jamaa huyo kwenda kwa Naima bila ya kuwa na Nasra, Nasra alijaribu sana kugonga lakini hakufunguliwa, na baadae aliamua kupiga simu zote mbili ya rafiki yake na ya boyfriend wake pia zote zikaita tu bila kupokelewa, Alikaa pale nje hadi majira ya saa sita usiku, ambapo alishajua kunakitu kinaendelea. Muda ulivyozidi kwenda  Nasra alitoka na kwenda kuchukua marafiki zake wengine wawili, aliporudi alikuta bado hawajatoka ndani.

Mpaka majira ya saa saba hivi usiku, Nasra akiwa amebeba mafuta ya moto kwenye chupa ya chai yeye na marafiki zake walivunja mlango na kuwakuta wawili hao ndani wakiwa katika hali ya uoga jamaa alifanikiwa kukimbia na kumuacha Naima chumbani ambapo Nasra alifungua chupa ya chai na kumwagia mafuta hayo ya moto rafiki yake huyo msaliti.

Nasra alikamatwa baadae na kufikishwa kituo cha polisi ambayo alihojiwa na kusema kwamba, alikuwa akipata tetesi na uvumi kwamba mchumba ake anatembea na rafiki yake kwa siku nyingi hivyo alikuwa anatafuta tu uthibitisho, na ameupata baada ya kufuatilia kwa muda mrefu.
0 comments

MUONEKANO MPYA WA AGNES MASOGANGE.PICHA ZAIDI YA TANO ZIKO HAPA!!

MUONEKANO MPYA WA AGNES MASOGANGE.PICHA ZAIDI YA TANO ZIKO HAPA!!


Pichani juu ni taswira za mpya za Video Queen wa Bongo, Agness Gerald 'Masogange' alizotupia kupitia ukurasa wake wa Instagram.
0 comments

CHELSEA YAKARIBIA KUIENGUA ARSENAL KILELENI ENGLAND

CHELSEA YAKARIBIA KUIENGUA ARSENAL KILELENI ENGLAND

article-2523322-1A1A5C4C00000578-132_634x441_d5cd3.jpg
MABAO ya Fernando Torres dakika ya 16 na Ramires dakika ya 35 yameipa ushindi wa 2-1 Chelsea dhidi ya Crystal Palace jioni ya leo Uwanja wa Stamford Bridge katika mchezo wa Ligi Kuu ya England.
Bao pekee la Crystal lilifungwa na mshambuliaji wa zamani wa Arsenal, Chamakh dakika ya 29.
Ushindi huo unamaanisha Chelsea inaweza kupanda kileleni mwa Ligi Kuu ya England ikiifunga Arsenal Desemba 23 Uwanja wa Emirates.
Katika mechi nyingine za Ligi hiyo leo, Manchester City imeifunga 6-3 Arsenal, Cardiff City imeilaza 1-0 West Bromwich, Everton imeikung'uta 4-1 Fulham, Newcastle United imetoka 1-1 na Southampton, West Ham United imetoka 0-0 na Sunderland sawa na Hull City na Stoke City.

Na bongostaz.blogspot.com (P.T)
0 comments

Shughuli ya Mazishi ya Mzee Nelson Mandela hivi sasa kijijini Qunu

Shughuli ya Mazishi ya Mzee Nelson Mandela hivi sasa kijijini Qunu

hema_f301b.jpg
Kamera ya Globu ya Jamii ipo Ndani ya Hema maalumu ambamo shughuli ya mazishi ya marehemu Nelson Mandela inaendelea hivi sasa katika kijijini Qunu.na kama ilivyo ada ya libeneke la Globu hili kwamba litakuwa linatuletea Live matukio yote yanayoendelea katika Mazishi ya Shujaa huyo wa Afrika na Dunia kwa Ujumla.
tmp_Screenshot_2013-12-15-08-56-43-11227373973_d580c.png
Rais Kikwete ni mmoja kati ya viongozi wanaoshiriki mazishi ya  marehemu Nelson Mandela yanayoendelea hivi sasa katika kijijini Qunu
0 comments
 
Copyright © 2011. TANGA LEO - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger