|
MKUU WA MKOA WA
TANGA,LUTENI MSTAAFU CHIKU GALLAWA AKIFUNGUA JENGO LA MAABARA YA SHULE
YA SEKONDARI PONGWE WAKATI AKIWA KWENYE ZIARA YAKE YA KUKAGUA MIRADI
MBALIMBALI YA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA TANGA. |
|
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Luteni Mstaafu Chiku Gallawa
akifungua jengo la maabara kwenye shule ya sekondari Pongwe juzi akiwa kwenye
ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo kwenye wilaya ya Tanga
anayeshuhudia wa kwanza ni Meya wa Jiji la Tanga,Omari Guledi. |
|
Kaimu Meneja wa Tanesco Mkoa wa Tanga,Joackim Luheta
kushoto akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Luteni Mstaafu Chiku
Gallawa wa pili kulia jinsi ya kituo cha kupozea umeme Kange jinsi
kinavyofanya kazi wakati wa ziara yake ya kukagua shughulia mbalimbali
za maendeleo kwenye wilaya ya Tanga. |
|
Kaimu Meneja wa Tanesco Mkoa wa Tanga,Joackim Luheta
kushoto akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Luteni Mstaafu Chiku Gallawa wa Tatu kushoto jinsi ya kituo hicho cha
kupozea umeme Kange jijini Tanga kinavyofanya kazi wanaoshuhudia ni kushoto ni Meya
wa Jiji la Tanga Omari Guledi na Mkuu wa wilaya ya Tanga,Halima Dendego. |
|
MKUU WA MKOA WA
TANGA,LUTENI MSTAAFU CHIKU GALLAWA KATIKATI AKISISITIZA JAMBO KWA KAIMU
MENEJA WA TANESCO MKOA WA TANGA,JOACKIM LUHETA KUHUSU KITUO HICHO WA
KWANZA KUSHOTO NI MKUU WA WILAYA YA TANGA,HALIMA DENDEGO. |
|
HAPO MKUU WA MKOA
WA TANGA,LUTENI MSTAAFU CHIKU GALLAWA AKISAINI KITAMBU CHA WAGENI MARA
BAADA YA KUWASILI KWENYE KITUO HICHO CHA KUPOZEA UMEME KANGE JIJINI
TANGA. |
Posted by
Unknown
11:40 PM