Featured Post Today
print this page

MKWASA AWATEMA MWADINI, BANDA NA TSHABALALA STARS KILA MMOJA NA SABABU ZAKE, WENGINE WAGONJWA Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM K...

Read more »

JK ASHUHUDIA KUSIMIKWA CHIFU KINGALU WA 15 KIJIJINI KINOLE. ...

Read more »

MBUNGE WA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI-CHADEMA JOSHUA NASSARI AMALIZA MIKUTANO YA KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA KWA KUTUMIA CHOPA ...

Read more »

WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUUNDA KITENGO MAALUMU Na Peter Mtulia.  Msimamizi ...

Read more »

WIZARA YA UCHUKZI WAKUTANA NA UJUMBE KUTOKA UWANJA WA NDEGE WA CHINA ...

Read more »

Coastal Union yajiandaa na mechi ya Ligi kuu dhidi ya Polisi Morogoro itakayochezwa Jumatano wiki ijayo Kocha Mkuu wa Coastal Union,Jamhur...

Read more »

Rais Zuma awatembelea waathirika wa ghasia Rais Jacob Zuma wa Afrika kusini Rais Jacob Zuma wa Afrika kusini amewaomba raia wa kigeni kubakia ...

Read more »
Latest Post
Matumizi ya baiskeli Afrika

Matumizi ya baiskeli Afrika

Matumizi ya baiskeli Afrika Nishati juu ya magurudumu mawili   Mkaa husafirishwa hadi umbali wa kilomita 100 kwa baiskeli na kupelekwa Beira, mji wa pili kwa ukubwa Msumbiji. Katika maeneo ya vijijini barabara nyingi ni mbovu kwa hiyo wakati mwingine ni rahisi zaidi kusafiri kwa
0 comments
Matumizi ya baiskeli Afrika

Matumizi ya baiskeli Afrika

Matumizi ya baiskeli Afrika Mzigo wa kilo 300 Hakuna jambo lisilowezekana - labda hayo yalikuwa mawazo ya bwana huyu kutoka Msumbiji. Amepakia magunia sita ya mkaa kwenye baiskeli yake. Mzigo huo una uzito wa karibu kilo 300. Hapo hakuna tena kuendesha, kinachobaki ni kuisukuma baiskel
0 comments
Marekani yasisitiza itaiadhibu Syria

Marekani yasisitiza itaiadhibu Syria

Marekani yasisitiza itaiadhibu Syria Marekani yasisitiza itaiadhibu Syria Marekani imedhihirisha wazi kuwa itaiadhibu Syria kwa shambulio la Damascus ambapo zaidi ya watu 1,400 waliuawa huku wachunguzi wa umoja wa Mataifa wakikamilisha uchunguzi wao na kuondoka Syria leo (31.08.2013
0 comments
CHELSEA YAPIGWA NA BAYERN KWA MATUTA BAADA TA SARE MYUVUBH

CHELSEA YAPIGWA NA BAYERN KWA MATUTA BAADA TA SARE MYUVUBH

CHELSEA YAPIGWA NA BAYERN KWA MATUTA BAADA TA SARE MYUVUBH  BAYERN Munich imetwaa Super Cup ya Ulaya baada ya kuifuna Chelsea kwa penalti 5-4 kufuatia sare ya 2-2 na Jose Mourinho ameshindwa kutwaa taji la kwanza baada ya kurejea darajani mbele ya Pep Guardiola. Katika mchezo huo, a
0 comments
JAMII YAASWA KUTOA USHIRIKIANO KWA JESHI LA POLISI.

JAMII YAASWA KUTOA USHIRIKIANO KWA JESHI LA POLISI.

JAMII YAASWA KUTOA USHIRIKIANO KWA JESHI LA    POLISI. Na Amina Omari,Tanga Jamii imeaswa kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi badala ya kuwaona ni kama maadui kwao hasa wanapofuatilia taarifa za uhalifu  ili kuhakikisha wanashirikina katika kulinda na kuzui
0 comments
 TFF wasaini mkataba wa haki za kipekee za televisheni ya Azam kwa ajili ya kuonyesha mechi za ligi Kuu

TFF wasaini mkataba wa haki za kipekee za televisheni ya Azam kwa ajili ya kuonyesha mechi za ligi Kuu

TFF wasaini mkataba wa haki za kipekee za televisheni ya Azam kwa ajili ya kuonyesha mechi za ligi Kuu Na Kambi Mbwana, Dar es Salaam SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na kampuni ya Azam Media leo (Agosti 30 mwaka huu) wamesaini mkataba wa haki za kipekee za televisheni (exclusive rig
0 comments
Francis Cheka amtandika Mmarekani Phil Williams Ukumbi wa Diamond Jubilee na kuwapa raha Watanzania

Francis Cheka amtandika Mmarekani Phil Williams Ukumbi wa Diamond Jubilee na kuwapa raha Watanzania

Francis Cheka amtandika Mmarekani Phil Williams Ukumbi wa Diamond Jubilee na kuwapa raha Watanzania Na Kambi Mbwana, Dar es Salaam BONDIA wa Tanzania, Francis Cheka, ameendeleza ubabe wake baada ya kumtandika mpinzani wake Phil Williams katika pambano lao lililofanyika usiku wa kuamkia leo
0 comments
KUTOKA KWENYE MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI JUMAMOSI AGOSTI 31/ 2013.

KUTOKA KWENYE MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI JUMAMOSI AGOSTI 31/ 2013.

KUTOKA KWENYE MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI JUMAMOSI AGOSTI 31/ 2013.  
0 comments
M23 yatangaza kusitisha mapigano;

M23 yatangaza kusitisha mapigano;

M23 yatangaza kusitisha mapigano; Kundi la waasi wa M23 katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo limesema kuwa linasimamisha mapigano mara moja, kuruhusu uchunguzi juu ya makombora yaliyovuka mpaka na kuanguka katika nchi jirani ya Rwanda. Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Ki
0 comments
Wafanyakazi wa migodi kugoma Afrika Kusini;

Wafanyakazi wa migodi kugoma Afrika Kusini;

Wafanyakazi wa migodi kugoma Afrika Kusini;  Wamiliki wa migodi ya madini nchini Afrika Kusini, wamesema kuwa wafanyakazi wao wameitisha mgomo wa kitaifa kuanzia siku ya Jumanne, kutaka mishahara yao kuongezwa. Chama cha kitaifa cha wachimba migodi, NUM kimeiti
0 comments
Bayern ni mabingwa wa UEFA Super Cup

Bayern ni mabingwa wa UEFA Super Cup

Bayern ni mabingwa wa UEFA Super Cup  Bayern Munich imeshinda taji la EUFA Super Cup kwa kuichapa Chelsea mabao 5-4 kupitia mikwaju ya
0 comments
Marekani yasisitiza itaiadhibu Syria;

Marekani yasisitiza itaiadhibu Syria;

Marekani yasisitiza itaiadhibu Syria;  Marekani imedhihirisha wazi kuwa itaiadhibu Syria kwa shambulio la Damascus ambapo zaidi ya watu 1,400 waliuawa huku wachunguzi wa umoja wa Mataifa wakikamilisha uchunguzi wao na kuondoka Syria leo (31.08.2013). Rais wa Marekani Barra
0 comments
Serikali yasalimu amri kwa wabunge;

Serikali yasalimu amri kwa wabunge;

Serikali yasalimu amri kwa wabunge;  Muswada wa Sheria ya Taifa ya Umwagiliaji wa mwaka 2013, jana ulipita kwa mbinde bungeni mjini Dodoma, huku Serikali ikisalimu amri kwa wabunge na kukubali kurekebisha baadhi ya vifungu vyake.Bila kujali tofauti zao za kisi
0 comments
IGP aibiwa upanga wa dhahabu

IGP aibiwa upanga wa dhahabu

IGP aibiwa upanga wa dhahabu Jeshi la Polisi limeingia katika kashfa nzito baada ya mkuu wake, Inspekta Jenerali Said Mwema, kuibiwa upanga wa dhahabu ambao ni mali ya Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi wa nchi za Kusini mwa Afrika (SARPCCO). Upanga huo wenye uzito
0 comments
ASKOFU WA KANISA LA EVANGELISTIC ASSEMBLIES OF GOD TANZANIA (EAGT) AFARIKI DUNIA.

ASKOFU WA KANISA LA EVANGELISTIC ASSEMBLIES OF GOD TANZANIA (EAGT) AFARIKI DUNIA.

ASKOFU WA KANISA LA EVANGELISTIC ASSEMBLIES OF GOD TANZANIA (EAGT) AFARIKI DUNIA. Askofu,Dk Moses Kulola.   DAR ES SALAAM. VILIO, simanzi na maombi ya kunena kwa lugha vilitawala jana katika Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT), Temeke Dar es Sal
0 comments
Mwenyekiti wa CCM wilayani Handeni awalipua wapinzani

Mwenyekiti wa CCM wilayani Handeni awalipua wapinzani

Mwenyekiti wa CCM wilayani Handeni awalipua wapinzani Na Rahimu Kambi, Handeni MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wilayani Handeni, mkoani Tanga, Athumani Malunda, amesema wananchi wengi wamegundua kuwa wapinzani hawana lengo zuri kwa maisha yao, ndio maana wanazidi kukiamini chama cha
0 comments
Mkuu wa shule ya sekondari ya Kwamatuku wilayani Handeni aelezea mikakati ya shule yao

Mkuu wa shule ya sekondari ya Kwamatuku wilayani Handeni aelezea mikakati ya shule yao

MKUU wa shule ya Sekondari ya Kwamatuku, iliyopo Kata ya Kwamatuku, wilayani  Handeni, mkoani Tanga, Faustine Mroso, amesema pamoja na changamoto wanazokutana nazo, lakini shule yake imejipanga imara kuwapatia wanafunzi elimu bora.   Mroso ameyasema hayo siku chache baada ya kuw
0 comments
 Mgombea udiwani mwaka 2010 kwa tiketi ya CUF sasa akichulia chama chake

Mgombea udiwani mwaka 2010 kwa tiketi ya CUF sasa akichulia chama chake

Mgombea udiwani mwaka 2010 kwa tiketi ya CUF sasa akichulia chama chake Handeni.  ALIYEKUWA mgombea udiwani Kata ya Kwamatuku, wilayani Handeni, mkoani Tanga, kwa tiketi ya Chama Cha Wananchi (CUF), Mwamini Andrew, amesema haoni sababu ya kubaki katika chama kisichokuwa na dhamira ya k
0 comments
SAMUEL ETO'O ATAMBULISHWA RASMI CHELSEA.

SAMUEL ETO'O ATAMBULISHWA RASMI CHELSEA.

SAMUEL ETO'O ATAMBULISHWA RASMI CHELSEA.  
0 comments
               HII NDIO ADHABU ALIYOPEWA MRISHO NGASA.

HII NDIO ADHABU ALIYOPEWA MRISHO NGASA.

              HII NDIO ADHABU ALIYOPEWA MRISHO NGASA. Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji, Alex Mgongolwa amesema kamati yake haikumhoji winga wa Yanga, Mrisho Ngassa ilijitosheleza na maelezo ya kimaand
0 comments
   JK ataka suluhu na Rais Kagame

JK ataka suluhu na Rais Kagame

         
0 comments
Pages (26)1234567 Next
 
Copyright © 2011. TANGA LEO - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger