skip to main |
skip to sidebar
Matumizi ya baiskeli Afrika
-
Mzigo wa kilo 300
Hakuna jambo lisilowezekana - labda hayo yalikuwa mawazo ya bwana
huyu kutoka Msumbiji. Amepakia magunia sita ya mkaa kwenye baiskeli
yake. Mzigo huo una uzito wa karibu kilo 300. Hapo hakuna tena
kuendesha, kinachobaki ni kuisukuma baiskeli. Amefunga kamba kwenye
usukani ili aweze kuiongoza baiskeli yake vizuri.
Copyright © 2011.
TANGA LEO - All Rights Reserved
Post a Comment