skip to main |
skip to sidebar
Matumizi ya baiskeli Afrika
Nishati juu ya magurudumu mawili
-
Mkaa husafirishwa hadi umbali wa kilomita 100 kwa baiskeli na
kupelekwa Beira, mji wa pili kwa ukubwa Msumbiji. Katika maeneo ya
vijijini barabara nyingi ni mbovu kwa hiyo wakati mwingine ni rahisi
zaidi kusafiri kwa baiskeli kuliko kwa gari. Wakaazi wengi wanawategemea
wauza mkaa kwa sababu hawana uwezo wa kununua umeme au gesi.
Copyright © 2011.
TANGA LEO - All Rights Reserved
Post a Comment