skip to main |
skip to sidebar
RWANDA YAPANDISHA USHURU WA MAGARI YA MIZIGO YANAYOTOKA TANZANIA.
Serikali
ya Rwanda imeongeza ushuru wa barabara (ROAD TOLL) kwa magari yote ya
Mizigo (Fuel and Dry Cargo) yenye plate numbers za Tanzania kutoka USD
152 mpaka USD 500 kwa kila gari.
Kwa taarifa ambazo sio rasmi, kwa siku magari ya mizigo takribani 300 yanavuka Rusumo ambapo ni mpakani mwa Tanzania na Rwanda na zaidi ya asilimia 95% ya magari hayo yana plate number za Tanzania.
Wamiliki wa Malori wameiomba serikali kuingilia kati ili kunusuru hali hiyo.
Copyright © 2011.
TANGA LEO - All Rights Reserved
Post a Comment