BASI LA YANGA LAPASULIWA KIOO NA MASHABIKI MBEYA CITY, MATAI MATATU YALIYOANDIKWA KIARABU YATOLEWA UWANJANI
Basi
la Yanga likiwa limepasulia kioo wakati linaingia Uwanja wa Sokine
mjini Mbeya na mashabiki wa Mbeya City katika mchezo baina ya timu hizo
Jumamosi. Timu hizo zilitoka 1-1.
|
Mkono wa kulia wa dereva la basi la Yanga SC, Maulid Kiula ulivyojeruhiwa na mashabiki wa Mbeya City |
Maulid Kiula, dereva wa basi la Yanga |
Meneja wa Uwanja wa Sokoine akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mayai matatu aliyoyaondoa katikati ya Uwanja kabla ya kuanza kwa mechi hiyo |
Yanafaa kula? Mayai yaliyoandikwa Kiarabu yaliyotolewa uwanjani kabla ya mchezo kuanza |
Bendera ya Mbeya City na maandishi wa Kiarabu |
Basi la Yanga likiwa chini ya uangalizi wa Polisi Uwanja wa Sokoine lisishambuliwe zaidi |
Mashabiki wa Yanga kutoka Tunduma |
Walikuwepo mashabiki pia kutoka Dar es Salaam kama hawa tawi la Tandale kwa Mtogole, lakini hawakutamba mbele ya mashabiki wa Mbeya City |
Post a Comment