YANGA SC ILIVYOSHIKWA NA MBEYA CITY LEO SOKOINE, MANJI HADI HURUMA
Wachezaji
wa Yanga SC wakishangilia bao la kusawazisha katika mchezo wa leo wa
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City, Uwanja wa Sokoine
mjini Mbeya. Timu hizo zilitoka 1-1.
|
Atumani Iddi 'Chuji' akimtoka mchezaji wa Mbeya City |
Frank Domayo wa Yanga akipambana na mchezaji wa Mbeya City |
Frank Domayo amefumua shuti |
Said Bahanuzi anajiandaa kupiga krosi |
Didier Kavumbangu akipambana na beki wa Mbeya City...kulia ni Hussein Javu |
Hussein Javu anapiga shuti |
Beki wa Mbeya City akimdhibiti Hussein Javu, ili kipa wake adake mpira |
Said Bahanuzi akipiga shuti |
Kipa bora wa Ligi Kuu msimu uliopita, David Burhan akidaka mpira mbele ya Didier Kavumbangu |
Wachezaji wa Yanga wakimzonga refa baada ya kukataa bao lao |
Wachezaji wa Yanga wakimuambia refa amuangalia mshika kibendera kakubali bao |
Mashabiki wa Mbya City |
Hussein Javu kushoto akimtoka beki wa Mbeya City, huku Nizar Khalfan akijipanga kuomba pasi |
Mwagane Yeyo wa Mbeya City akiruka mkugombea mpira wa juu na beki wa Yanga SC, Nadir Haroub 'Cannavaro' |
Didier Kavumbangu akigombea mpira na beki wa Mbeya City |
Mwenyekiti wa Yanga SC, Yussuf Manji akiwa ameshika tama jukwaani |
Mshambuliaji wa Yanga SC, Simon Msuva ambaye alikuwa nje leo akiwa ameshika tama |
Haruna Niyonzima na Mrisho Ngassa wakiwa hawaamini macho yao |
Shabiki wa Yanga SC, Paulina aliyesafiri kutoka Dar es Salaam kuja kuisapoti timu yake leo akiwa hoi Uwanja wa Sokoine leo |
Kikosi cha Yanga SC kilichoanza leo |
Kikosi cha Mbeya City leo |
Post a Comment