Mtu Mrefu Kuliko Wote Duniani Sultan KosenAfunga Ndoa Uturuki.
Hakika hili ni jambo la heri na
kuvutia kwa namna moja ama nyingine, ama sivyo Sultan Kosen angeweza
kuwa na wakati mgumu kuweza kumpata mwanamke ambaye wangeweza endana ili
waweze kuishi naye maishani.
Mtu huyu mrefu kuliko wote duniani ana urefu wa mita 2.51 zaidi ambazo ni sawa na futi mbili na inchi saba ambazo amemzidi mwanamke aliyemuoa aitwaye Merve Dibo.
Mtu huyu mrefu kuliko wote duniani ana urefu wa mita 2.51 zaidi ambazo ni sawa na futi mbili na inchi saba ambazo amemzidi mwanamke aliyemuoa aitwaye Merve Dibo.
Jamaa huyu ambaye ni mkulima wa
nchini Uturuki alifunga ndoa iliyofuatiwa na sherehe kubwa mwishoni mwa
juma, hakika ni furaha sana kwake mara baada ya kupoteza tumaini kwa
muda mrefu kama angeweza kuja kumpata atakayempenda.
Post a Comment