USAJILI WA BALE: BAADA YA JANA KUANZA KUUZA JEZI ZAKE - LEO HII REAL MADRID WAANZA KUTENGENEZA JUKWAA LA KUMTAMBULISHA MCHEZAJI MPYA
Gareth Bale anakaribia kutua Real Madrid |
Ujeniz wa jukwaa kubwa la kutambulishia wachezaji wakubwa wanaosajiliwa na Real Madrid ukiendelea mapema jana mchana. Inaaminika Real Madrid wapo katika hatua za mwisho za kumsajili Gareth Bale kwa ada ya uhamisho wa £94m ambayo itakuwa rekodi mpya ya dunia baada ya ile £80m waliyolipa Madrid kumsajili Cristiano Ronaldo kutoka Manchester United miaka minne iliyopita. |
Post a Comment