TUKIO LILILOJIRI JIJINI DAR: KILE KIDUME KILICHOPIGA PICHA ZA UTUPU NA MABINTI NA KUZISAMBAZA SASA KIPO MIKONONI MWA POLISI! PICHA HIZI HAPA
Jeshi la polisi kanda ya Dar es Salaam linadaiwa kumtia mbaroni msanii anaetuhumiwa kupiga picha chafu na wanawake mchanganyiko wakiwema mamiss maarufu na baadae kusambaza kwenye mitandao yote ya kijamii pamoja na kuripotiwa kwenye magazeti pendwa.
Gazeti hili katika upekenyuaji wake limenasa picha hizi kwenye mtandao mmoja maarufu wa kijamii ukimuonesha Manaiki akiwa kwenye kibano kikali cha polisi huku akiwa amevishwa pingu na kurukishwa kichurachura. Habari za uhakika zinasema kuwa msanii huyo aliyeshiriki kwenye filamu za Tikisa, Love Position, Last Coin na Sory my Soni alikamatwa siku chache baada kuvuja kwa picha zake za aibu zikimuonesha akiwa na wanawake tofauti tofauti.
Aidha picha zaidi za tukio hilo la kukamatwa kwa
Manaiki na haikufahamika kama alikamatwa kwa kosa jingine tofauti na
kosa la kudhalilisha wanawake ambapo hali hiyo iliwalazimu waandishi
wetu kufatilia kwa ukaribu tukio hilo la kukamtwa kwa msanii huyo
aliyejitapia usataa kwa matukio ya picha za uchi .
Timu ya
waandishi wetu ilifika kituo cha Polisi Buguruni kwa ajili ya kufahamu
kama msanii huyo alikuwa ameswekwa kituoni hapo lakini kwa bahati mbaya
hakuwepo. Ambapo gari la mapapalazi weti ilielekezwa kituo cha Polisi
Oysterbay kwa ajili ya kuonana na RPC wa Kanda ya Kinondoni Wambura
lakini pia kwa bahati mbaya mara baada ya kufika ofisini kwake sekritali
wake alisema kamanda hakuwepo kwa muda huo.
Alipotafutwa msanii huyo kupitia simu yake ya kiganjani ili kujuwa nini kilimsibu lakini hakuweza kupatikana kwani simu yake ilikuwa haipatikani kabisa licha kupigwa zaidi ya mara sita.
Alipotafutwa msanii huyo kupitia simu yake ya kiganjani ili kujuwa nini kilimsibu lakini hakuweza kupatikana kwani simu yake ilikuwa haipatikani kabisa licha kupigwa zaidi ya mara sita.
Aidha kukamatwa kwa Manaiki
kumeleta tafsiri tofauti kuwa huenda Rais wa Miss Utalii Tanzania Gidion
Chipungahelo anahusika kufuatia kauri yake aliyoitoa kwenye la Kiu la
wiki iliyopita kuwa lazima ataanza kumshughulikia Manaiki ili iwe
fundisho kwa wale wote wanaosubiri kuwafanyia skendo chafu warembo wake.
Hata hivyo licha waandishi wetu kufatilia habari hiyo karibu siku nzima
lakini hapakuwa na taarifa sahihi za wapi alipo Manaiki na kituo gani
cha Polisi alichoswekwa ambapo juhudi nyingine za kufika nyumbani kwa
msanii huyo na baadae tutawaletea taarifa kamili.
WAZAZI WATOA KAURI NZITO:
WAZAZI WATOA KAURI NZITO:
Baada
ya wiki iliyopita tumepokea maoni mbalimbali ya wananchi hasa wazazi
wenye uchungu na wa watoto wao na walifunguka mengi sana fuatilia ujue
kauri zao.
Mama Amina wa Mbezi Beach alisema “ Jamani hivi huyo
msanii ana wazazi kweli? Hapana binafsi siamini kama anao kwani
udhalilishaji anaoufanya kwa watoto wa watu kama angekuwa na wazazi
hakika wangemkanya na angeachana na huo upuuzi nasema hii haikubariki
kabisa tunamuomba Kamanda Kova amshughulikie kijana huyo ili iwe
fundisho kwa wengine” Alisema mama huyo kwa uchungu
Nae Mama Mud wa Sinza Jijini Dar alifunguka hivi “ Unajua huyu Manaiki mimi ni mmoja wa mashabiki wake kwenye muziki wa bongo flava sasa nashindwa kuelewa kwa nini amejidhalilisha kwa picha chafu kama hizo? Sio bure mi nadhani anahitaji ushauri nasahaa kwani huenda sio akili yake haki ya Mungu” Alisema
Aidha nae msanii mkongwe wa tasinia ya filamu nchini Mzee Magali alitoa ushauri kwa Manaiki na kusema“ Huyu motto ana kipaji kizuri sana kwenye kuimba kuigiza sasa ni nini kinachomfanya ajidhalilishe kiasi hiki dar kweli imeuma sana kuona kijana wangu anavyopotea, Kwani sasa hivi tunahitaji kudhalisha akina mzee Chilo wapya. Akina mzee Magali wapya sasa kwa mtindo huu hakika hawa vijana hawatofika mbali na sanaa” Alisema sema kwa uchungu
Aidha nae Hemed Kavu meneja wa Club Maisha ya Dar alikuwa na haya “ Mimi nimepiga simu hapo kuwaeleza kuwa nimesikitishwa sana na tabia ya Manaiki ambapo kwenye hizo picha pia yupo mpwa wangu ambae anasema alishawishiwa na Manaiki kupiga hizo picha hivyo kama familia tutakaa chini kuangalia namna ya kumshitaki ili amradi ushahidi toka kwa muhusika upo kuwa kulikuwa na ushawishwaji wakati wa kupiga picha hizo toka kwa Manaiki ambae alimrubuni kumpa laki mbili akishapiga picha hizo” Alisema Hk
Nae mwalimu wa wasanii wengi nchini n director wa filamu Tanzania aliyejitambulisha kwa jina moja la Bakari alilonga “ Hapo mimi ninachokiona hao wote wana makosa kwani hapo hakuna mtoto mdogo hao mabint nao viherehere vyao viliwaponza hivyo kama Manaiki alifanya kwa kuwafunga kamba hapo sawa ana haki ya kuhukumiwa jamani lakini hao wanawake walijitakia wenyewe basi walaumiwe wote” Alisema.

Post a Comment