Mwenyekiti wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa jiji
la Mbeya, katika mkutano wa hadahara wa Mabaraza ya Wazi ya kujadili rasimu ya
katiba, uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe. (Picha na Joseph Senga)
Post a Comment