MCT WATEMBELEA TANGA PRESS CLUB.
MRATIBU WA TANGA
PRESS CLUB NEEMA KHATIBU KULIA AKIFURAHIA JAMBO NA OFISA WA MCT ANITHA
MENDOZA MARA BAADA YA KUTEMBELEA KLABUNI HAPO LEO |
HAPO MMOJA WA MAAFISA HAO,ANITHA MENDOZA KUSHOTO ALIYESIMAMA AKIZUNGUMZA NA MRATIBU WA TANGA PRESS CLUB NEEMA KHATIBU. |
HAPA MAAFISA HAO WAKIANGALIA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA WANAHABARI KLABUNI HAPO |
MWENYEKITI WA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA TANGA(TANGA PRESS CLUB)HASANI HASHIM KATIKATI AKITOA MAELEKEZO WA PICHA HIZO KWA MAAFISA HAO WA MCT WALIOTEMBELEA KLABUNI HAPO LEO. |
Post a Comment