MJI WA HANDENI KUTUMIA ZAIDI YA TSH BIL. 7 KWA MWAKA 2014/15
{Mkurugenzi Mji wa Handeni Thomas Mzinga pichani}Add caption |
Baraza la Halmashauri
Mji wa Handeni limepanga kutumia jumla ya Sh. Bilioni 7.92 kwa
ajili ya shughuli mbalimbali za maendeleo na utawala kwa mwaka wa fedha
2014/2015.
Kwa mujibu wa mapendekezo ya bajeti yaliyopitishwa na kikao cha Baraza la Halmashauri hiyo,
kati ya fedha hizo Sh. milioni.503.19 zimepangwa kutuimika kwa ajili
kutekeleza miradi mbalimbali za maendeleo kwa mwaka huo wa fedha.
Akisoma mapendekezo hayo katika kikao hicho kilichofanyika makao makuu ya Halmashauri hiyo, Chanika, Handeni , Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri,Thomas Mzinga alisema vyanzo vikuu vya fedha za utekelezaji wa miradi ni ruzuku kutoka serikali kuu na wahisani.
Mzinga alisema bajeti ya mwaka 2014/2015 imeandaliwa kufuatiwa malengo makuu saba ambayo ni Huduma ya ukimwi kuboreshwa na maambukizi mapya kupunguzwa , kuboresha upatikanaji wa huduma za jamii, kuimarisha shudghuli za utawala bora pamoja kuboresha udhibiti wa majanga.

Mingine ni miradi ya kuimarisha
huduma za kijamii jinsia na
kujenga uwezo wa
jamii na kuongeza idadi
na ubora wa huduma za
jamii na miundombinu .
Mkurugenzi huyo alisema kuwa mbali ya fedha hizo pia wanapeleka maombi maalum nje ya ukomo wa bajeti yenye thamani ya Tshs. 2,374,000,000 kati ya hizo mil.1.5 zitatumika katika kujenga jengo la utawala na mil. 624,000,00/= zitatumika katika kujenga vyumba 13 vya maabara pamoja na mil. 250,000,000/= zitatumika katika kununua gari la Mkurugenzi na gari la Idara ya mipango .
Akizungumzia juu ya changamoto
zilizojitokeza katika utekelezaji wa
bajeti ya 2013/2014 ,
alisema kuwa kuchelewa kwa fedha za matumizi ya kawaida kutoka serikali kuu (Hazina).
alisema kuwa kuchelewa kwa fedha za matumizi ya kawaida kutoka serikali kuu (Hazina).
Alitaja chanhamoto nyingine kuwa ni kutopata fedha za maendeleo kwa wakati kutoka hazina (fedha hizi zinapitia Halmashauri ya wilaya zinapotumwa).
MWISHO
Post a Comment