Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk.William Mgimwa umewasili nchi hii leo kwa ndege ya shirika la Kenya (KQ) na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa chama na Serikali wakiongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue opamoja na Mawaziri mbalimbali na Wabunge. http://mrokim.blogspot.com
MWILI WA WAZIRI WA FEDHA DK WILLIAM MGIMWA WAWASILI TANZANIA UKITOKEA AFRIKA YA KUSINI.

Post a Comment