RC GALLAWA AWAFARIJI WANANCHI WALIEZULIWA NYUMBA ZAO KOROGWE NA MUHEZA

RC GALLAWA AWAFARIJI WANANCHI WALIEZULIWA NYUMBA ZAO KOROGWE NA MUHEZA

Picha namba 9274 Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Luteni Mstaafu Chiku Gallawa
kushoto akitoa maelekezo kwa Mwenyekiti wa Kijiji Lusanga kata ya Mnyuzi wilayani Korogwe Thabiti Selemani mwenye kofia jinsi ya kuutumia msaada huo wa unga kwa wananchi walioathirika.
Afisa Rasilimali wa Kiwanda cha Unga jijini Tanga cha Pembe, Salele Masoudy kushoto akimkabidhi Msaada wa Unga kwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Lusanga kata ya Mnyunzi,Thabiti Selemani katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Luteni Mstaafu Chiku Gallawa kushoto na Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mrisho Gambo wakishuhudia makabidhiano hayo
MKUU wa Mkoa wa Taga,Luteni Mstaafu Chiku Gallawa akisisitiza jambo kwa wananchi wa Kijiji cha Lusanga kata ya Mnyuzi wilayani Korogwe  kilichokumbwa na maafa ya wananchi wake kuezuliwa mabati kwenye nyumba za kaya 83 wilayani humo uliotokana na upepo mkali ulioaambatana na mvua juzi ukushoto ni Afisa Rasilimali wa Kiwanda cha Unga cha Pembe jijini TangaSalele Masoudy  na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mrisho Gambo
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. TANGA LEO - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger