Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira yatembelea hifadhi ya Tarangire
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya ardhi, maliasili na mazingira wakijiandaa kwa safari ya kuelekea katika hifadhi ya Tarangire, iliyoko wilayani Babati, mkoa wa Manyara. |
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira katika ofisi za hifadhi ya Tarangire, wakisikiliza taarifa ya uhuifadhi kutoka kwa Mhifadhi Mkuu, Stephano Kolli (hayupo pichani). |
Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, maliasili na mazingira, James Lembeli, akijadiliana jambo na Mkurugenzi mkuu wa TANAPA, Allan Kijazi (aliyeinama). |
Mhifadhi mkuu wa Tarangire, Stephano Kolli, akitoa taarifa ya hifadhi kwa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira iliyotembelea Hifadhi hiyo. |
Post a Comment