MADEREVA DALADALA ZA MIKANJUNI TANGA WATOA LA MOYONI KWA HALMASHAURI YA JIJI
Madereva wa daladala ziendazo mikanjuni,Mwahako,Magomeni na Tanga Beach Mkoani hapa wameushukuru uongozi wa Halmashauri ya Jiji la kwa kuwa tengenezea vituo viwili vyakuegeshea magari katika maeneo ya mabanda ya Papa pindi wanapo subiri abiria
Mwandishi wa matukiodaima.com Tanga Bw Dominic Joseph Maro anaripoti zaidi kuwa
Aidha wamesema hapo awali walikuwa hawana kituo maalum cha
kuegeshea magari hali ambayo ilikuwa
ikiwasababishia kazi yao kuwa ngumu kutokana msongamano uliokuwa ukiwapa
changamoto kubwa katika kazi yao.
Pamoja na hayo wametoa ushauri kwa Madereva wenzao ambao wanaendesha vyombo moto kuhakikisha wanavitumia vizuri vituo hivyo vipya ili kusaidia kudumu kwa muda mrefu na itawafanya wafanye kazikwa wepesi pia ni salama kwa habiria vili ni msada kwa watumiaji wengine.
Post a Comment