|
Katibu
wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Nape Nnauye akiwahutubia maelfu wa
Wananchi wa Jiji la Mbeya katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika
viwanja vya Shule ya msingi RuandaNzovwe. |
Mwenyekiti
wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mbeya, Amani
Kajuna akisalimiana na Nape katika mkutano huo.
|
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya, Godfrey Zambi akiwahutubia
wakazi wa Jiji la Mbeya waliofurika katika mkutano wa hadhara
uliofanyika jana katika viwanja vya shule ya Msingi RuandaNzovwe Jijini
Mbeya. |
|
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro akijibu baadhi ya kero za Wananchi katika mkutano huo. |
|
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa amepozi baada ya kuvalishwa
mavazi ya kichifu na wazee wa mila wa Mkoa wa Mbeya ambavyo ni Mkuki,
mgolole na kigoda. |
|
Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Mbeya Mary Mwanjelwa akiwasalimia wakazi wa Jiji la Mbeya katika Mkutano huo. |
|
Mjumbe
wa Mkutano mkuu wa CCM Taifa Mkoa wa Mbeya kupitia UVCCM, Nwaka Mwakisu
akiwa amebebwa juu kwa juu na vijana kwa mchango wake mkubwa kwa vijana
wa Mbeya |
|
Meza kuu wakifuatilia kwa makini baadhi ya matukio yanayoendelea jukwaani. |
|
Vijana
wa Mwanjelwa wakiwa wamembeba msombesombe mlezi wao Mbunge wa Viti
maalum Mary Mwanjelwa wakimpeleka kwenye gari lake baada ya kukamilika
kwa mkutano. |
PICHA NA MBEYA YETU BLOG.
Post a Comment