Chadema mkoani Kigoma kimenuka, watu waandamana kupinga ujio wa Katibu Mkuu Dk. Slaa
Wanachama na wafuasi wa Chadema
wakiandamana katika mitaa mbalimbali ya kigoma ili kupinga ziara ya
Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Slaa mkoani humo pamoja na kupinga maamuzi
yanayofanywa na Kamati kuu ya Chadema. Maandamano hayo yanaendelea hivi
sasa. Taarifa zaidi tutaendelea kuwapatia kadri tutakavyozipata.
Post a Comment