Rais Kikwete asimikwa uchifu wa kabila la Wabena wa Njombe
Rais
Jakaya Kikwete akipokea Mkuki wakati akisimikwa Uchifu wa Kabila la
Wabena na mmoja wa wawakilishi wa Wazee wa Kabila hilo,kwenye wa Hafla
ya Uzinduzi wa Mkoa wa Mpya wa Njombe.
Wazee wa Kabila la Wabena wakimsimika Uchifu Rais Jakaya Kikwete.
Chifu Mpya wa Kabila la Wabena, Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia wakazi wa Mkoa Mpya wa Njombe.
Chifu Mpya
wa Kabila la Wabena,Rais Jakaya Kikwete akiteremka Jukwaani baada ya
kusimikwa Uchifu wa Kabila hilo na kuwahutubia wananchi wa Mkoa wa
Njombe.(P.T)
Rais
Jakaya Kikwete akipongezwa na Mkewe Mama Salma Kikwete baada ya
kusimikwa Uchifu wa Kabila la Wabena,wakati wa Hafla ya Uzinduzi wa Mkoa
wa Mpya wa Njombe.
Pongezi zikiendelea.
Machifu wa Kabila la Wabena wakiwa kwenye picha ya Pamoja.
Post a Comment