HII NI MAALUM KWA WADADA NA WAMAMA WANAOTAKA WAWE MABIKRA TENA!! TAHADHARI.
wengi hujiuliza kama kuna dawa ya asili ya kurejesha bikira kwa wanawake.
Haipo dawa ya asili inayo weza kurejesha bikira kwa mwanamke.
Dawa zilizopo ni dawa za kichina, na side effects zake ni kubwa sana.
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu,
mwanamke anaye tumia dawa za kichina kwa ajili ya kurejesha bikira yake anajiweka katika hatari kubwa sana ya kupatwa na ugonjwa wa kansa
kutokana na kemikali mbalimbali zinazo patikana katika dawa hizo.
USHAURI WETU :
Tunashauri usitumie dawa za kichina kwa ajili ya kurejesha bikira kwa sababu madhara yake ni makubwa sana.
Hakuna dawa ya kurejesha bikira, dawa za asili zilizopo ni dawa zinazo fanya kazi ya kuufanya uke kuwa tight sana lakini hauwi bikira.
Bikira ikishatoka haiwezi kurudi tena.
Post a Comment