siku ya wazee duniani yasherehekea tanga
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU WAZEE DUNIANI NA WAZEE WA KOROGWE MKOA WA TANGA
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya Wazee waliohudhuria katika sherehe za Kilele cha
Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani, baada ya kuhutubia katika sherehe
hizo zilizofanyika kwenye Uwanja wa Mandu, Korogwe Mkoani Tanga leo Picha na OMR
Akivishwa vazi la Asili.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya Wazee.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wazee
Duniani,yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Mandu, Korogwe Mkoani Tanga leo
Post a Comment