sakata la kodi ya simu
Wanasheria
Fatma Karume (kulia) na Beatus Malima wanaowakilisha Chama cha Walaji
nchini wakijadiliana na mawakili wa Serikali, Alesia Mbuya (wa pili
kushoto) baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuahirisha kesi ya
kupinga kukatwa kodi ya Sh, 1,000 kwa kila simcard ambayo ilipitishwa
na Bunge la Bajeti la mwaka huu wa fedha wa 2013/149
Post a Comment