EPHRAIM KIBONDE APATA AJALI MLIMANI CITY
Ephraim Kibonde akishuka kwenye gari baada ya ajali.
..Akilikagua gari lake.
Trafiki akiwa eneo la ajali.
Gari la Kibonde likiwa eneo la ‘round about’ ya kuelekea Mlimani City baada ya ajali.
Fundi akirekebisha gari hilo baada ya ajali.
Mtangazaji
wa Clouds FM, Ephraim Kibonde amepata ajali ya gari leo asubuhi katika
barabara ya Sam Nujoma kwenye ‘round about’ ya kuelekea Mlimani City.
Gari alilokuwa anaendesha Kibonde aina ya Toyota Carina lenye nama za
usajili T 733 BVE limeharibika kwa mbele katika ajali hiyo.
(Picha: Chande Abdallah / GPL)
Post a Comment