Taasisi ya WAMA yakabidhi Gari la Wagonjwa Hospitali ya Sokoine Mkoa wa Lindi
Mke wa
Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA)
Mama Salma Kikwete akitoa risala fupi wakati wa halfa ya kukabidhi gari
la kubebea wagonjwa lililotolewa na Taasisi hiyo kwa hospitali ya
Sokoine Mkoa wa Lindi,kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo Ludovick Mwananzila na
kulia ni Kaimu katibu tawala wa hospitali hiyo Tawani Selemani.
Mke wa
Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA)
Mama Salma Kikwete akimuonyesha gari la kubebea wagonjwa Mkuu wa Mkoa wa
lindi Ludovick Mwananzila lililotolewa na Taasisi hiyo wakati wa
alipolikabidhi kwenye hospitali ya Sokoine mkoani hapo.
Mke wa
Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA)
Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa
Hospitali ya Sokoine Mkoa wa Lindi baada ya kukabidhi gari la kubebea
wagonjwa katika hospitali hiyo.
Picha no 5
Mke wa Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya
Wanawake na
Maendeleo(WAMA) Mama Salma Kikwete akikabidhi funguo za gari la kubebea
wagonjwa kwa Mganga Mfawidhi wa hospitali ya Sokoine Dk.Abdallah Chome
kulia ni Mkuu wa Mkoa wa lindi Ludovick Mwananzila gari hilo limetolewa
na Taasisi hiyo kwa ajili ya kusaidia wagonjwa.
Post a Comment