SAFARI YA MWISHO YA ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA KIOMONI GEORGE MAYALLA.
WAKAZI WA TANGA WAKIUAGA MWILI WA ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA KIOMONI JIJINI TANGA,GEORGE MAYALLA NYUMBANI KWAKE JANA. |
MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA TANGA,OMARI GULEDI (ALIYEVAA SHUTI NYEUSI NA KUKUNJA MIKONI)AKIWA NA WAHESHIMIWA MADIWANI WA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA MSIBANI HAPO JANA. |
JENEZA LA MAREHEMU MAYALLA LIKICHUKULIWA NA VIJANA WA GREEN GADI WA CHAMA CHA MAPINDUZI TAYARI KWA AJILI YA KUPELEKWA MAKABURINI, |
MWILI WA MAREHEMU MAYALLA UKIWA TAYARI KWA AJILI YA KUHIFADHIWA KWENYE MAKAZI YAKE YA MILELE. |
UMATI WA WAOMBOLEZAJI WALIOJITOKEZA KWENYE MAZISHI HAYO. HABARI PICHA NA PASCAL MBUNGA ,KIOMONI TANGA. |
Post a Comment