BAVARIA WAFADHILI MASHINDANO YA LUGHA YA KIINGEREZA KWA SHULE ZA SEKONDARI MKOA WA TANGA .
WANANFUNZI WAKIFUATILIA MASHINDANO YA LUGHA YA KIINGEREZA AMBAYO YALIANZA JANA KATIKA HOTEL YA REGAL NAIVERA YAKIFADHILIWA NA KINYWAJI KISICHO NA KILEVI CHA BAVARIA HOLLAND |
BAADHI YA WALIMU KUTOKA SHULE MBALIMBALI MKOA WA TANGA WAKIFUATILIA MASHINDANO HAYO. |
WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI POPATLALY NA ST.CHRISTINA WAKIWA TAYARI KWA AJILI YA MASHINDANO HAYO. |
MEZA YA MAJAJI WA MASHINDANO HAYO WAKIWA KWENYE MICHAKATI YAO KUHAKIKISHA KILA KITU KINAKWENDA SAWA NA BINGWA ANAPATIKANA BILA MALALAMIKIO. |
HAPA WAKITETE JAMBO. |
Post a Comment