MOHAMED BAWAZIRI AKUTANA NA WAZIRI MKUU PINDA KUHAMASISHA NGUMI NCHINI
Waziri Mkuu Mh,Mizengo Pinda katikati akiwa katika picha ya pamoja na promota wa mchezo wa masumbwi nchini Mohamed Bawaziri, na promota wa mpambano wa ubingwa wa Dunia ambao cheka anao kwa sasa Catherini Matili .Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Waziri
wa Wizara ya Habari ,Vijana,utamauni na michezo, Dkt,Fenela Mukangala
wa pili kushoto akiwa na Rais wa TPBO Yassini Abdala pamoja na mapromota
Mohamedi Bawazir kulia na Catherini Matili Picha www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Waziri Mkuu Mh,Mizengo Pinda wanne kushoto akiwa na bingwa wa dunia wa mchezo wa masumbwi nchini Fransic Cheka baada ya kukaribishwa bungeni mjini Dodoma wengine kushoto Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' na bingwa wa mabara Fransic Miyeyusho kulia ni promota wa mchezo wa masumbwi nchini Mohamed Bawaziri, na promota wa mpambano wa ubingwa wa Dunia ambao cheka anao kwa sasa Catherini Matili .Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Waziri Mkuu Mh,Mizengo Pinda katikati akiwa katika picha ya pamoja na promota wa mchezo wa masumbwi nchini Mohamed Bawaziri, na promota wa mpambano wa ubingwa wa Dunia ambao cheka anao kwa sasa Catherini Matili .Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
PROFESA MAJI MAREFU AKIWA NA MABINGWA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI PAMOJA NA PROMOTA MOHAMEDI BAWAZIRI
Waziri Mkuu Mh,Mizengo Pinda wanne
kushoto akiwa na bingwa wa dunia wa mchezo wa masumbwi nchini Fransic
Cheka baada ya kukaribishwa bungeni mjini Dodoma
wengine kushoto Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu
Mhamila 'Super D' na bingwa wa mabara Fransic Miyeyusho kulia ni
promota wa mchezo
wa masumbwi nchini Mohamed Bawaziri, na
promota wa mpambano wa ubingwa wa Dunia ambao cheka anao kwa sasa
Catherini Matili .Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
MAJI MAREFU AKIWA NA MABINGWA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI |
Mbunge Wa Same Mashariki, Anne Kilango katikati akiwa na bingwa wa unia wa wbf fransic Cheka kulia kwake na Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia na wadau wengine wa mchezo wa masumbwi nchini walipotembelea Bunge la Jamuhuri ya Muhungano wa Tanzani picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia fransic Cheka akiwa na wabunge mbalimbali pamoja na mwanaseria mkuu wa Selikari le alipotembelea bungeni |
Waziri
wa Wizara ya Habari ,Vijana,utamauni na michezo, Dkt,Fenela Mukangala
wa pili kushoto akiwa na Rais wa TPBO Yassini Abdala pamoja na mapromota
Mohamedi Bawazir kulia na Catherini Matili Picha www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Waziri Mkuu Mh,Mizengo Pinda katikati akiwa na mabondia Fransic Miyeyusho kushoto na Fransic Cheka wakati walipo tembelea bungeni Dodoma kwa ajili ya kutambua mchango wao na kuwapongeza picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Post a Comment