Lowassa akutana na Wanavyuo Tabora;
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa
(katikati) akiongozana na baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi
Mkoani Tabora, wakati alipokuwa akiwasili kwenye Ofisi za CCM Wilaya ya
Tabora Mjini, mchana wa jana Septemba 13, 2013.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza machache kwenye mkutano wake wa Mkoa wa Tabora.
Mwenyekiti
wa UVCCM Wilaya ya Tabora Mjini, Seif Gulamali akizungumza machache
mbele ya Wanafunzi wa Vyuo mbali mbali Mkoani Tabora leo.
Baadhi ya wanafunzi hao kutoka Vyuo mbali mbali Mkoani Tabora, wakiuliza maswali.
Post a Comment