KATIBU Mkuu mstaafu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Martine Shigela
(kushoto) akimkabidhi Katibu Mkuu mpya wa UVCCM, Sixtus Mapunda, faili
wakati wa makabidh
iano ya Ofisi, waliyofanya, Makao Makuu ya UVCCM,
mjini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni, Naibu Katibu Mkuu UVCCM (Bara),
Mfaume Ally Kizigo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Utekelezaji UVCCM Taifa,
Seki Kasuga. (Picha na Bashir Nkoromo). |
Post a Comment