Yule
msanii aliyekua akisubiriwa kwa hamu toka Ghana Fuse ODG amekuja tayari
na yupo Bongo kama unavyoona tumepozi nae hapa kwa picha, cha msingi
jiandae na show pale Ustawi Wa Jamii kesho...
Kutoka kushoto no Fuse ODG, wa katikati ni manager wake na Ezden The Rocker
Swag za Mrs. Ezden
Azontoooo LIVE in Dar
Post a Comment