TRAFIK FEKI ANASWA JIJINI DAR ES SALAAM MAENEO YA KINYEREZI.KILA MOJA ANA NJIA YAKE YA KUTAFUTA HELA BHANA!!
Askari Bandia wa Kikosi cha Usalama
Barabarani aliyekamatwa jana mchana maeneo ya Kinyelezi Mnara,Tabata
jijini Dar es Salaam akiwa ndani ya sare zake mara baara ya kukamatwa.Askari huyu feki amefikishwa kwenye Kituo cha Polisi Stakishari ili taratibu za kisheria ziweze kuchukuliwa juu yake.
Afande huyo akiwa chini ya ulinzi wa
Polisi mara baada ya kukamatwa mchana wa jana akila vichwa maeneo ya
Kinyelezi Mnara,Tabata jijini Dar es Salaam.
Afande huyo akiwa Kituo cha Polisi Stakishari.
Post a Comment