Featured Post Today
print this page

MKWASA AWATEMA MWADINI, BANDA NA TSHABALALA STARS KILA MMOJA NA SABABU ZAKE, WENGINE WAGONJWA Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM K...

Read more »

JK ASHUHUDIA KUSIMIKWA CHIFU KINGALU WA 15 KIJIJINI KINOLE. ...

Read more »

MBUNGE WA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI-CHADEMA JOSHUA NASSARI AMALIZA MIKUTANO YA KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA KWA KUTUMIA CHOPA ...

Read more »

WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUUNDA KITENGO MAALUMU Na Peter Mtulia.  Msimamizi ...

Read more »

WIZARA YA UCHUKZI WAKUTANA NA UJUMBE KUTOKA UWANJA WA NDEGE WA CHINA ...

Read more »

Coastal Union yajiandaa na mechi ya Ligi kuu dhidi ya Polisi Morogoro itakayochezwa Jumatano wiki ijayo Kocha Mkuu wa Coastal Union,Jamhur...

Read more »

Rais Zuma awatembelea waathirika wa ghasia Rais Jacob Zuma wa Afrika kusini Rais Jacob Zuma wa Afrika kusini amewaomba raia wa kigeni kubakia ...

Read more »
Latest Post
Wabunge 15 matatani

Wabunge 15 matatani

Wabunge 15 matatani Ofisi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limewaanika wabunge 15, waliobainika kuchukua posho za safari bila kusafiri huku wengine wakikatisha safari zao.
0 comments
Dk Ngasongwa: CCM inababaika

Dk Ngasongwa: CCM inababaika

Dk Ngasongwa: CCM inababaika Ni kutokana na viongozi wake kusema hadharani bila ya kutumia vikao vya chama Dar es Salaam. Waziri wa zamani katika Serikali ya Awamu ya Tatu ya Rais Benjamin Mkapa na katika Awamu ya Nne ya Rais Jakaya Kikwete, Dk J
0 comments
JK kupokea Rasimu ya Katiba Mpya Jumatatu

JK kupokea Rasimu ya Katiba Mpya Jumatatu

JK kupokea Rasimu ya Katiba Mpya Jumatatu   Tume  ya Mabadiliko ya Katiba inatarajiwa kuwakabidhi Marais Jakaya Kikwete na Dk Mohamed Shein, rasimu ya katiba mpya.Hafla ya makabidhiano hayo itafanyika Jumatatu, kwenye viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam.Taarifa iliyotolewa jan
0 comments
Handeni wazitamani Simba na Yanga kukipiga kwenye Uwanja wa Azimio wilayani kwao

Handeni wazitamani Simba na Yanga kukipiga kwenye Uwanja wa Azimio wilayani kwao

Handeni wazitamani Simba na Yanga kukipiga kwenye Uwanja wa Azimio wilayani kwao Na Kambi Mbwana, Aliyekuwa Handeni MKURUGENZI wa Halmashauri ya Mji wa Handeni, mkoani Tanga, Thomas Mzinga, amesema kwamba Uwanja wao wa Azimio unastahili kukutanisha vigogo vya Simba na Yanga, katika michua
0 comments
BREAKING NEWS !!!! MAITI YAKAMATWA NA KETE ZA MADAWA YA KULEVYA MOROGORO.

BREAKING NEWS !!!! MAITI YAKAMATWA NA KETE ZA MADAWA YA KULEVYA MOROGORO.

BREAKING NEWS !!!! MAITI YAKAMATWA NA KETE ZA MADAWA YA KULEVYA MOROGORO. Maiti ikiwa ndani ya gari aina ya SPACIAL yenye namba ya usajili T 887 BSW eneo la nje ya chumba cha kuhifadhia maiti cha hospotali kuu ya mkoa wa Morogoro, baada ya gari hilo kukamatwa majira ya saa 7 usiku en
0 comments
BREAKING NEWS: JAMES KISAKA AFARIKI DUNIA

BREAKING NEWS: JAMES KISAKA AFARIKI DUNIA

BREAKING NEWS: JAMES KISAKA AFARIKI DUNIA   KISAKA (KULIA) WAKATI AKIWA KAZINI SIMBA MSIMU ULIOPITA, WANAOMFUATIA NI NICO NYAGAWA, JULIO NA ABDALLAH KIBADENI Kipa wa zamani na kocha wa zamani wa makipa wa Simba, James Kisaka amefariki dunia.   ..WAKATI AKIWA MGONJWA NYUMBANI
0 comments
RC GALLAWA AKABIDHI ZAWADI ZA KRISMAS NA MWAKA MPYA ZILIZOTOKA KWA JK KWA MAKAZI YA WAZEE WASIOJIWEZA MISUFINI MUHEZA.

RC GALLAWA AKABIDHI ZAWADI ZA KRISMAS NA MWAKA MPYA ZILIZOTOKA KWA JK KWA MAKAZI YA WAZEE WASIOJIWEZA MISUFINI MUHEZA.

RC GALLAWA AKABIDHI ZAWADI ZA KRISMAS NA MWAKA MPYA ZILIZOTOKA KWA JK KWA MAKAZI YA WAZEE WASIOJIWEZA MISUFINI MUHEZA.                     MKUU WA MKOA WA TANGA,LUTENI MSTAAFU CHIKU GALLAWA AKISALIMIANA NA WAZEE WASIOJIWEZA WANAOISHI K
0 comments
WATU SABA WAKAMATWA KWA KUTUHUMIWA KUWEKA MABOMU YALIYOKUSUDIWA KULIPUA NYUMBA MBILI WILAYANI KOROGWE.

WATU SABA WAKAMATWA KWA KUTUHUMIWA KUWEKA MABOMU YALIYOKUSUDIWA KULIPUA NYUMBA MBILI WILAYANI KOROGWE.

WATU SABA WAKAMATWA KWA KUTUHUMIWA KUWEKA MABOMU YALIYOKUSUDIWA KULIPUA NYUMBA MBILI WILAYANI KOROGWE.   Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,Coastatine Massawe akiwaonyesha waandishi wa habari ambao hawapo pichani silaa mbalimbali zilizokuwa zikutumiwa na watuhumuiwa waliokamatw
0 comments
MAKAMBA AMWAGA VIFAA VYA MICHEZO VYENYE THAMANI YA SH.MILIONI 2,JIMBONI KWAKE.

MAKAMBA AMWAGA VIFAA VYA MICHEZO VYENYE THAMANI YA SH.MILIONI 2,JIMBONI KWAKE.

MAKAMBA AMWAGA VIFAA VYA MICHEZO VYENYE THAMANI YA SH.MILIONI 2,JIMBONI KWAKE.                     Na Rais Said,Lushoto.  NAIBU Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Technologia,Januari Makamba
0 comments
PPF YAELEZA MAFANIKIO YALIYOPATIKANA TOKEA KUANZISHWA KWAKE.

PPF YAELEZA MAFANIKIO YALIYOPATIKANA TOKEA KUANZISHWA KWAKE.

PPF YAELEZA MAFANIKIO YALIYOPATIKANA TOKEA KUANZISHWA KWAKE. Na Raisa Said,Handeni.  Mfuko wa Pensheni wa PPF,umeeleza mafanikio yaliyopatikana kuanzishwa kwake kuwa ni pamoja na kuwalipia ada za masomo ya juu watoto yatima walioachwa na wazazi wao ambao ni wanachama wa mfuko huo
0 comments
TASWIRA YA MAPOKEZI YA MHE ZITTO ZUBERI KABWE NAMNA ALIVYOPOKELEWA HIVI PUNDE KIGOMA

TASWIRA YA MAPOKEZI YA MHE ZITTO ZUBERI KABWE NAMNA ALIVYOPOKELEWA HIVI PUNDE KIGOMA

TASWIRA YA MAPOKEZI YA MHE ZITTO ZUBERI KABWE NAMNA ALIVYOPOKELEWA HIVI PUNDE KIGOMA Mbunge wa Kigoma kaskani Mh Zitto Kabwe akisalimiana na wakazi wa Kigoma mara baada ya Kuwasili kigoma asubuhi ambapoa wakazi wa kigoma wamejitokeza kwa wingi kumpokea Mbunge wao. Zitto Kabwe akiwa ka
0 comments
BASI LA ALLYS YAUA ABIRIA SABA JANA USIKU BUHONGWA-MWANZA.

BASI LA ALLYS YAUA ABIRIA SABA JANA USIKU BUHONGWA-MWANZA.

BASI LA ALLYS YAUA ABIRIA SABA JANA USIKU BUHONGWA-MWANZA. Basi la kampuni ya Allys Sport Bus linalosafirisha abiria kutoka Dar es Salaam na Mwanza likiwa limeacha njia na kupinduka baada ya kutokea ajali inayodaiwa kusababishwa na basi la Shabiby lililokuwa likitokea mkoani Dodom
0 comments
KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI CHAFANYIKA MKOANI TANGA LEO.

KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI CHAFANYIKA MKOANI TANGA LEO.

KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI CHAFANYIKA MKOANI TANGA LEO.  katikati waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Rais Mazingira Mh Ddkt Terezya Huvisa kulia ni katibu mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Sazi Salula na kushoto ni katibu mpya wa Baraza la wafanyakazi Ofisi ya Makamu
0 comments
WAGANDA WAHOJI FIFA OKWI KWENDA YANGA

WAGANDA WAHOJI FIFA OKWI KWENDA YANGA

WAGANDA WAHOJI FIFA OKWI KWENDA YANGA Uongozi wa Shirikisho la Soka la Uganda (Fufa) umendika barua kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) kutaka kujua uhakika kuhusiana na mshambuliaji Emmanuel Okwi kuuzwa Yanga. Taarifa zinasema katika mtandao wa MTNfootball kwamba OKwi alij
0 comments
AZAM FC WAFUNGA 'SOFA ZA HATARI' CHAMAZI, KOMBE LA SHIRIKISHO PALE PALE MWAKANI

AZAM FC WAFUNGA 'SOFA ZA HATARI' CHAMAZI, KOMBE LA SHIRIKISHO PALE PALE MWAKANI

AZAM FC WAFUNGA 'SOFA ZA HATARI' CHAMAZI, KOMBE LA SHIRIKISHO PALE PALE MWAKANI Mafundi wakiendelea na zoezi la uwekaji wa viti vya kisasa katika majukwaa ya Uwanja wa Azam Complex, uliopo Chamazi, Dar es Salaam. Klabu ya Azam inataka kuutumia Uwanja huo kwa michuano ya Afrika pia mwakani na
0 comments
Pages (26)1234567 Next
 
Copyright © 2011. TANGA LEO - All Rights Reserved
Proudly powered by Blogger