BREAKING NEWS: JAMES KISAKA AFARIKI DUNIA
KISAKA (KULIA) WAKATI AKIWA KAZINI SIMBA MSIMU ULIOPITA, WANAOMFUATIA NI NICO NYAGAWA, JULIO NA ABDALLAH KIBADENI |
Kipa wa
zamani na kocha wa zamani wa makipa wa Simba, James Kisaka amefariki dunia.
..WAKATI AKIWA MGONJWA NYUMBANI KWAKE MSASANI. |
Kisaka
amefariki dunia leo alfajiri na taarifa zinasema mwili wake umehifadhiwa katika
Hospitali ya Muhimbili jijini Dar.
Kisaka
alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kupooza upande mmoja kwa zaidi ya miezi
miwili.
MUNGU
AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI
Post a Comment