skip to main |
skip to sidebar
SERIKALI KUENDELEA KUWAJENGEA UWEZO WATAALAM KATIKA MASUALA YA MIKATABA
Picture 013- Afisa Habari wa ofisi ya
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bi. Asiatu Msuya akieleza kwa waandishi wa
habari(hawapo pichani) kuhusu majukumu mbalimbali ya Divisheni ya
Mikataba ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri wa kitaalam katika masuala ya
Mikataba na makubaliano yanayoihusu serikali,wakati wa mkutano
uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Leo Jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bi.
Zamaradi Kawawa.
Picture 028 -Mkurugenzi Msaidizi
Divisheni ya Mikataba toka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw.
Edson Mweyunge akifafanua kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani)kuhusu
utendaji kazi na mafanikio ya Divisheni hiyo katika masuala ya
Mikataba,wakati wa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari
(MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa
Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.
Copyright © 2011.
TANGA LEO - All Rights Reserved
Post a Comment