PICHA ZA WATUHUMIWA 13 WALIOKUTWA WAKIFANYA MAZOEZI YA AL-SHABAAB NA AL-QAEDA
Hawa ni vijana wa kitanzania 13 ambao walikamatwa na jeshi la polisi Mtwara baada ya kupata taarifa kwamba walikua wakifanya mazoezi ya kivita kwa kutumia CD za Al Qaeda na Al Shabaab ambapo walikamatwa na hizo CD pamoja na silaha mbalimbali kama ushahidi...
Taarifa ya jeshi la Polisi leo imesema kuwa , vijana hawa walipelekwa Mahakamani na watarudishwa tena tarehe 4 November 2013.
Udaku Specially Blog
Post a Comment