Leo
hii rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete
amehudhuria msiba wa Balozi Abrahamu Sepetu (Baba mzazi wa Wema Sepetu)
uliotokea hapo juzi jijini Dar es Salaam.
Mheshimiwa
kiwete amefika msibani akiongozana na mkewe hapo kutoa pole kwa familia
hiyo kwa kuondokewa na Balozi Sepetu ambaye hapo alishawahi kushika
nyadhifa mbalimbali kwenye serikali nchini ikiwemo ya kuwa waziri wa
mambo ya nje kwenye miaka ya sabini (70) kabla ya kuwa balozi wa urusi
kwenye kipindi cha miaka ya 80. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali
pema peponi.
Post a Comment