TIMU YA AZAM FC YAILAMBISHA SIMBA KONI KATIKA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM
Mshambuliaji wa Azam FC Kipre Tchetche akipambana na Issa Rashidi"Baba Ubaya" wa Simba FC.Timu ya Azam imeichapa timu ya Simba kwa mabao 2-1 leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwenye muendelezo wa mechi za ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara.Bao la Simba lilifungwa na Ramadhani Singano na mabao ya ushindi ya Azam yalifungwa na mshambuliaji wao hatari kutoka Ivory Coast Kipre Tchetche.Kwa ushindi huo Azam inaongoza ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara.
Post a Comment