Wengine wanasoma shule za gharama na wenzao wana choma mkaa, ajira za watoto zipo kwa wingi hapa nchini serikali ijitathimini upya kuhusu hili.
Mtoto ambaye hajaweza kupatikana jina lake mara moja
akijishughulisha na kazi ya uchomaji mkaa, kama alivyokutwa maeneo ya Kwachaga,
wilayani Handeni mkoani Tanga.
Mtoto kama huyu anastahili kutumia muda mwingi
kusoma na sio kufanya kazi ya matanuri huku akiifanya kazi hiyo kwa kurithi kwa
familia yake au sehemu nyingine ya jamii kwa ajili ya kusukuma gurudumu la
maisha yake ya kila siku. Picha na Kambi Mbwana.
Post a Comment