UJUMBE MZITO KUTOKA KWA AFANDE SELE.
#Nimekumbuka wakati naanza hiphop music, kuna kipindi #Taji Liundi alikua na matamasha yake ya ukimwi/beach bam, halafu msanii mkubwa alikuwa ticha wangu #joseSugu ndio pekee alikua akilipwa elfu 50 kwa show siku moja akagoma, Taji kapagawa akamuongezea elfu 20, Sugu akazikataa, akampitishia chini ya mlango huku anambembeleza sana kaka Taji, Hili game noma safari ndefu sana,
acha #niggaJ aitwe #profesa , #sele aitwe #afande , #gk aitwe #king, #msafiri aitwe#solo na #JOSE AWE #MBUNGEsugu,
follow me twitter @afandesele_king or Selemani Msindi
waweza share post hii.
Post a Comment