MWENGE WA UHURU WAKABIDHIWA RASMI MKOA WA DSM
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Said
Meck Sadiki (kulia) akikabidhiwa Mwenge wa Uhuru na Mkuu wa Mkoa wa
Pwani na Skauti Mkuuwa Chama cha Skauti Tanzania Hajati Mwantum Mahiza
(kushoto) katika uwanja wa ndege wa Terminal one (1) leo Jijini Dar es
Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Mafia Sauda Salum
Mtondoo(kulia) akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Pwani na
Skauti Mkuuwa Chama cha Skauti Tanzania Hajati Mwantum Mahiza (kushoto)
kwa ajili ya kuukabidhi Mwenge kwa Mkoa wa Dar es Salaam, katika
makabidhiano yaliyofanyika uwanja wa ndege wa Terminal one (1) leo
Jijini Dar es Salaam
Picha na Hassan Silayo-MAELEZO
Post a Comment