UFUNGUZI WA WIKI LA NDENDA KWA USALAMA BARABARANI MKOA WA TANGA ULIVYOFANA KWENYE UWANJA WA TANGAMANO LEO SEPTEMBA 23
| Mkuu wa mkoa wa Tanga B, Chiku Galawa akikata utepe kuashilia kufungua rasmi wiki la nenda kwa usama mkoa wa TANGA, maadhimisho yaliyofanyika ktk viwanja vya Tanga mano |
| Mtangazaji wa kituo cha Redio Bree Agnes Mambo akipokea cheti kutoka kwa mgeni rasmi Chiku Galawa |
| Mkuu wa mkoa wa Tanga akijiandaa kukata utepe |
| Meneja wa kituo cha Redio Huruma Fm Peter Mtulia akipokea cheti kutoka kwa mgeni rasmi mkuu wa mkoa wa Tanga, B, chiku galawa. |
| Mkuu wa mkoa wa Tanga akitoa zawadi kwa wanafunzi walioimba ktk maadhimisho ya ufunguzi wa wiki la ndenda kwa usalama, ktk viwanja vya Tanga mano |
| Askari wa kikosi cha usalama barabarani wakiwa wanaingia ktk uwanja wa Tanga manao kwa maaandamano |
| Mkuu wa mkoa wa Tanga akitoa hotuba kwenye ufunguzi wa wiki la ndenda kwa usalama |
| Mkuu wa mkoa wa Tanga akiwasili uwanjani |
| Waandishi wa habari wakiwa wamepozi kusubiri shughuli kuanza |
| Waendesha bodaboda nao hawakubaki nyuma, hapa wakipita mbele ya jukwaa kuu |
| Wakipita mbele ya mgeni rasmi hayupo pichani |
Post a Comment