MASHINDANO YA BAISKELI KWAAJILI YA KUTAFUTA WAWAKILISHI WATAKAOUWAKILISHA MKOA WA TANGA KWENYE MICHUANO YA TAIFA YATAKAYONYIKA MKOA DODOMA, YAMEFUNGWA JANA NA MH, STIVINI NGONYANI "MAJI MAREFU"
MCHUANO ULIKUWA MKALI NA MWISHO WA SIKU WASHINDAI SITA WAMEPATIKANA AMBAO NDIO WATAUWAKILISHA MKOA WA TANGA KWENYE MICHUANO YA TAIFA MKOANI DODOMA.
WACHEZAJI WAKIWA WANAWASILI BAADA YA SAFARI NDEFU YA KM 150, KUTOKA TANGA HADI MAILI KUMI KOROGWE KWENDA NA KURUDI.
WACHEZAJI PAMOJA NA VIONGOZI WAKIWA KTK PICHA NA MGENI RASMI MBUNGE WA KOROGWE VIJIJINI MH, STIVINI NGONYANI.
Post a Comment